Envaya
/chawamu/news
: English
Base
English
chama cha wastaafu na wazee ni asasi...
association of retired and older...
Edit
Chama cha Wastaafu na Wazee Mkoa wa Mtwara ni Asasi ambayo inashughulika katika Mkoa wa Mtwara ambayo imeazishwa mwaka 1987 na kuandikishwa mwezi Machi, 1998. Wanachama hukutana mara kwa mara kujadili maendeleo ya chama na hasa kuondokana na umaskini kwa wazee.Tatizo la chama kwa hivi sasa ni kupata njia ya kuongeza uchumi.
Association of retired and elderly Mtwara Region is the organization which deals in which imeazishwa Mtwara Region in 1987 and registered in March, 1998. Members meet regularly to discuss progress of society and especially to eliminate poverty wazee.Tatizo the party now is to find ways of increasing economic growth.
Edit