Log in
Bright Light Organization

Bright Light Organization

Geita, Tanzania

large.jpg

Baadhi ya watumishi wa kituo cha Brightlight wakiwapokea wageni kipindi wanawasili kituoni kwa ajili ya kukitembelea kituo hicho.

large.jpg

wanafunzi wanaosoma katika kituo cha Brightlight wakiwa katika picha ya pamoja baada ya masomo.

large.jpg

Watoto wa kituo cha Brightlight Organization wakisikilza maelekezo kutoka kwa walezi wao baada ya maombi ya jioni.

large.jpg

Afisa maendeleo wilaya ya Geita na mgeni rasmi wakisikiliza kwa makini risara ilipokuwa ikisomwa kutoka kwa watoto wanao pata huduma katika kituo cha Brightlight Organization.

large.jpg

Kikundi cha wanasanaa wakionyesha michezo mbali mbali katika kituo cha Brightlight Organization wakati Mgeni rasmi ndugu Robert Ngai na afisa maendeleo ya jamii wilaya ya Geita katika zoezi la ugawaji wa vyeti kwa watoto waliofanya vizuri katika masomo yao.

large.jpg

Baadhi ya chanzo cha maji maarufu kwa jina la Lwenge kinachotumiwa zaidi ya kaya 187 mkoani geita takwimu hiyo ilifanywa na watafiti kutoka asasi ya Brightlight Organization 17/01/2014.

large.jpg

Watumishi wa asasi ya BrightlightOrganization wakijadili namna ya kubaini vyazo asilia vya maji moani Geita mwaka 2014.