Parts of this page have been translated from Swahili to English. View original · Edit translations
Shirika baada ya kupata nguvukazi (Wanachama Watendakazi) katika nchi na mikoa mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Tanzania mikoa ya Rukwa, Tabora, Katavi, Kigoma na serikali kutoa kibali kwa shirika cha kutafuta rasilimali fedha kutoka kwa wadau mbali mbali, limeanza kuwasaidia wagonjwa wa rufaa walioshindwa kumudu au kuendelea na matibabu baada ya kukosa au kuishiwa fedha kutokana na umaskini wa kipato.