DHAMIRA
Dhamira ya Shirika ni kuhakikisha kuwa rasilimali zilizopo zinatumika barabara katika kupambana, kuzuia na kuondoa ujinga, maradhi na umaskini ndani ya jamii.
Latest Updates
UNITED AFRICANS updated its Projects page.
Shirika baada ya kupata nguvukazi (Wanachama Watendakazi) katika nchi na mikoa mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Tanzania mikoa ya Rukwa, Tabora, Katavi na Kigoma, Wanachama Waliofuzu Mafunzo ya Kazi kwa nadharia na wengine Mafunzo ya kazi kwa... Read more
April 30, 2014
Sectors
Location
NZEGA, Tabora, Tanzania
See nearby organizations
See nearby organizations