Malengo ya ZAPANET ni kama yafuatayo:-
- Kutoa ushauri wa kisheria kwa jamii yote ya Zanzibar
- Kutoa Elimu ya Kisheria kwa jamii
- Kutoa mafunzo ya haki za kibinadamu
- Kutetea upatikanaji wa haki kwa wazanzibari wote bila ya kuwepo ubaguzi wa aina yeyote kwa jamii
- kushirikiana na Jumuiya nyengine ambazo zina malengo yanayofanana kitaifa, kikanda, na kimataifa
- Kupinga Unyayasaji wa aina zote dhidi ya watoto, wanawake na makundi yenye mahitaji maalum.
Latest Updates
MTANDAO WA WASAIDIZI WA SHERIA ZANZIBAR created a History page.
CHIMBUKO LA ZAPANET – iMEANZISHWA NA WASAIDIZI WA SHERIA ( PARALEGALS) WENYEWE AMBAO KWA MIYAKA ZAIDI YA MITATU WALIKUWA WAKIFANYA KAZI BEGA KWA BEGA NA KITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA ZANZIBAR ( zANZIBAR LEGAL SERVICES CENTER)- ZLSC
May 25, 2012
MTANDAO WA WASAIDIZI WA SHERIA ZANZIBAR joined Envaya.
May 25, 2012
Sectors
Location
ZANZIBAR, Zanzibar West, Tanzania
See nearby organizations
See nearby organizations