Envaya

/ZAPANET: Kiswahili: WIRCYgldW5KRIYMOdqXkbvee:content

Asili (Kiswahili) Kiswahili

Malengo ya ZAPANET ni kama yafuatayo:-

  1. Kutoa ushauri wa kisheria kwa jamii yote ya Zanzibar
  2. Kutoa Elimu ya Kisheria kwa jamii
  3. Kutoa mafunzo ya haki za kibinadamu
  4. Kutetea upatikanaji wa haki kwa wazanzibari wote bila ya kuwepo ubaguzi wa aina yeyote kwa jamii
  5. kushirikiana na Jumuiya nyengine ambazo zina malengo yanayofanana kitaifa, kikanda, na kimataifa
  6. Kupinga Unyayasaji wa aina zote dhidi ya watoto, wanawake na makundi yenye mahitaji maalum.

 

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe