Malengo ya ZAPANET ni kama yafuatayo:-
- Kutoa ushauri wa kisheria kwa jamii yote ya Zanzibar
- Kutoa Elimu ya Kisheria kwa jamii
- Kutoa mafunzo ya haki za kibinadamu
- Kutetea upatikanaji wa haki kwa wazanzibari wote bila ya kuwepo ubaguzi wa aina yeyote kwa jamii
- kushirikiana na Jumuiya nyengine ambazo zina malengo yanayofanana kitaifa, kikanda, na kimataifa
- Kupinga Unyayasaji wa aina zote dhidi ya watoto, wanawake na makundi yenye mahitaji maalum.
Mabadiliko Mapya
MTANDAO WA WASAIDIZI WA SHERIA ZANZIBAR imeumba ukurasa wa Historia.
CHIMBUKO LA ZAPANET – iMEANZISHWA NA WASAIDIZI WA SHERIA ( PARALEGALS) WENYEWE AMBAO KWA MIYAKA ZAIDI YA MITATU WALIKUWA WAKIFANYA KAZI BEGA KWA BEGA NA KITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA ZANZIBAR ( zANZIBAR LEGAL SERVICES CENTER)- ZLSC
25 Mei, 2012
MTANDAO WA WASAIDIZI WA SHERIA ZANZIBAR imejiunga na Envaya.
25 Mei, 2012
Sekta
Sehemu
ZANZIBAR, Unguja Mjini Magharibi, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu