Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations

large.jpg

Drug users training conducted at Tanzani Coffee hall, around Moshi town for six days. here participants making group discution.

Youth Control Society sasa inaendesha mradi wa kuelimisha vijana kuacha kutumia dawa za kulevya katika kata nane za manispaa ya Moshi mjini ambazo ni Njoro, Msaranga, Karanga,Pasua, Kaloleni, Rau, Kiboriloni na Majengo. Mradi huu unaanza tarehe 1/10/2012 hadi tarehe 1/1/2013.

Mwezi wa saba yocoso tumeweza kumaliza shughuli za mradi wa AMKA  uliolenga kutoa Elimu juu ya athari za matumizi ya  dawa za kulevya miongoni mwa vijana. shughuli za Mradi zilikuwa na mafanikio kwani tuliweza kuwafikia vijana walengwa katika maeneo yao na kuweza kuongea nao kupitia shughuli zilizopangwa kufanyika katika Mradi,

Katika Mwezi  wa saba tulikuwa tukifanya matukio ya kijamii ( matamasha) yaliyolenga kutoa elimu kwa vijana juu ya athari zitokanazo na matumizi yaDawa za Kulevya. Matamasha hayo yalifanyika katika kata ya Njoro mtaa wa sokoni,kaloleni mtaa wa CCM na Pasua sokoni.

large.jpg

Mafunzo ya waelimishaji rika. mfunzo haya yalihusisha vijana 18 kutoka katika kata tatu za Manispaa ya Moshi ambazo ni Pasua,Njoro na Kaloleni, katika mafunzo hayo walijifunza mbinu za mbalimbali za kukabiliana na mazingira katika utekelezaji wa shughuli za mradi, pia walijifunza juu ya athari za dawa za kulevya

large.jpg

Picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo ya uelimishajirika baada ya mafunzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Umati - Moshi

large.jpg

Washiriki wakifuatilia kwa makini mada ya athari za dawa za kulevya iliyokuwa ikiwezeshwa na Dr Mmasi.

large.jpg

Dr Mmasi was facilitating about effect of drug abuse