YOCOSO in the matching with other NGO's in Moshi - Kilimanjaro to the AIDS day event.
Participants making presentation during drug users training which conducted for six days.
Drug users training. Facilitator John Mbando talking with participants.
Drug users training conducted at Tanzani Coffee hall, around Moshi town for six days. here participants making group discution.
Youth Control Society sasa inaendesha mradi wa kuelimisha vijana kuacha kutumia dawa za kulevya katika kata nane za manispaa ya Moshi mjini ambazo ni Njoro, Msaranga, Karanga,Pasua, Kaloleni, Rau, Kiboriloni na Majengo. Mradi huu unaanza tarehe 1/10/2012 hadi tarehe 1/1/2013.
Mwezi wa saba yocoso tumeweza kumaliza shughuli za mradi wa AMKA uliolenga kutoa Elimu juu ya athari za matumizi ya dawa za kulevya miongoni mwa vijana. shughuli za Mradi zilikuwa na mafanikio kwani tuliweza kuwafikia vijana walengwa katika maeneo yao na kuweza kuongea nao kupitia shughuli zilizopangwa kufanyika katika Mradi,
Katika Mwezi wa saba tulikuwa tukifanya matukio ya kijamii ( matamasha) yaliyolenga kutoa elimu kwa vijana juu ya athari zitokanazo na matumizi yaDawa za Kulevya. Matamasha hayo yalifanyika katika kata ya Njoro mtaa wa sokoni,kaloleni mtaa wa CCM na Pasua sokoni.