
Mafunzo ya waelimishaji rika. mfunzo haya yalihusisha vijana 18 kutoka katika kata tatu za Manispaa ya Moshi ambazo ni Pasua,Njoro na Kaloleni, katika mafunzo hayo walijifunza mbinu za mbalimbali za kukabiliana na mazingira katika utekelezaji wa shughuli za mradi, pia walijifunza juu ya athari za dawa za kulevya
June 14, 2010