Envaya
To have a society which knows their human rights
Latest Updates
Wasaidizi wa kisheria Masasi added a News update.
WAKIHABIMA inawatakia wote sikukuu njema ya Christmas na mwaka mpya. Ni matumaini ya WAKIHABIMA kuwa mwaka ujao utakuwa ni wenye heri na mafanikio.
December 25, 2016
Wasaidizi wa kisheria Masasi added 3 News updates.
December 16, 2016
Wasaidizi wa kisheria Masasi added a News update.
WAKIHABIMA kwa kushirikiana na shirika la legal services facility LSF litaendesha mafunzo ya siku moja ya namna ya kuandaa na kuandika andiko la mradi, project write -up. Mafunzo hayo yatafanyika siku ya tarehe 22/11/2016 kenye ukumbi wa kanisa Katoliki parokia ya Masasi mjini. Hii ni kwa mujibu wa maelezo ya mwenyekiti... Read more
November 21, 2016
Wasaidizi wa kisheria Masasi added a News update.
Hamjambo! WAKIHABIMA ilipata mwaliko wa kuhudhuria kongamano la wasaidizi wa kisheria lilioandaliwa na shirika la Legal Services Foundation (LSF) huko Dodoma kuanzia tarehe 24- 25 Oktoba 2016. WAKIHABIMA kwenye kongamano hili ilipeleka wawakilishi 2; Mr Tanmoza Fungafunga- M/kiti na Bibi Mwanaafa Wadi Malenga- Mjumbe wa... Read more
October 31, 2016
Wasaidizi wa kisheria Masasi added a News update.
Kikao cha kamati ya utendaji kimeamua kuanzisha darasa lingine lanutoaji wa haki za binadamu – kwenye kata ya Mwena yakilenga utoaji wa elimu ya haki za wanawake na watoto. – Msimamizi wa maunzo wa shirika Bi Tecla Mbawala amebainisha kuwa kazi ya usajili wa washiriki itaanza ambapo Bw. Maurice... Read more
June 9, 2016
Wasaidizi wa kisheria Masasi added a News update.
Kwa mara nyingine tena WAKIHABIMA ilipokea ugeni wa wafuatiliaji wa shughuli za kiasasi – toka LSF ambao walikutana na wanufaika wa huduma za WAKIHABIMA. Wageni hawa Shadrack Maluli na Esther kilembe waliweza kuongea na wananchi 10 (Me 6/ke 4) viongozi wa kata, afisa maendeleo ya jamii na wazee wa baraza la kata ya Mwenge... Read more
May 20, 2016
Sectors
Location
Masasi, Mtwara, Tanzania
See nearby organizations