Envaya

Utambuzi wa watoto yatima

kazi za ofisini

kufuatilia maendeleo ya mradi pamoja na vikundi vya worth/, vyama vya kufa na kuzikana pamoja na club za michezo ya watoto.

shughuli za ofisini ikiwa ni pamoja na uandishi wa ripoti

kwa kutumia mvcc...wazazi na walezi wapwe mbinu juu ya uboreshaji uchumi katika familia zao kama vile kujiunga katika mpango wa worth(kuingia katika mpango wa worth) ili waweze kujiwekea akiba na kukopa na waweze kuanzisha biashara ndogo ndogo

 

shiriki

c)watoto wengi wana upunufu wa mahitaji muhimu kama vile, chakula, mavazi, vifaa vya shule na makazi yao sio mazuri

d)wananchi na jamii ishirikishwe (jamii ijihusishe) katika kutoa huduma kwa watoto walio katika mazingira hatarishi

watoto wanaupunfufu mkubwa wa mahitaji yao ya msingi

wananchi washirikishwe kikamilifu katika suala zima la kuwahudumia watoto

walezi wanao wahudumia watoto wakipewa mitaji wanaweza kupata pesa ya kujikimu wao pamoja na watoto wao

upunfufu wa mahitaji ya msingi ya watoto

walezi wanao wahudumia watoto wakipewa mitaji wanaweza kuendesha maisha yao wenyewe bila kuendelea kutegemea misaada

walezi wajiunge kwenye vikundi vya worth ili waweze kuongeza kipato cha familia

-Idadi kubwa ya watoto wenye huitaji mkumbwa wamisaada

-baadhi ya watoto hawaja pelekwa shule na wamezidi umri wa kwenda shule.

c)idadi kubwa ya watoto ambao hawaja bainiwa

e)baadhi ya familia kama zikiboreshewa kipato zinaweza kujiendesha zenyewe

-baadhi ya watoto katika familia nyingi hazija waandikisha watoto shule na kama wakipelekwa shuleni wana weza kijifunza.

d)watoto hawaja andikishwa shule

c)watoto wanamapungufu makubwa ya mahitaji ya msingi kama vile chakula,elimu na mavazi

d)wananchi na jamii ishirikishwe katika suala zima la kuhudumia watoto walio katika mazingira hatarishi.

e)jamii imezoea kupewa(kupokea) misaada na siyo kujihusisha(kuhusika) katika suala la uchangiaji huduma kwa watoto walio katika mazingira hatarishi

-wazazi na walezi wakiwezeshwa(kuboreshewa) uchumi katika familia wataweza kuwapa watoto wao huduma za msingi.

f)nguvu iongezwe katika suala la uhamasishaji jamii ili ifahamu (itambue) kuwa watotot wote ni sawa na jukumu la kuwalea (kuwatunza) ni la jamii mzima (yote)

g)kwa kutumia kamati za watoto walio katika mazingira hatarishi (mvcc) familia zipwe elimu juu ya kuimarisha kipato ndani ya kaya (familia) kama vile, kwa kujiunga na mpango wa worth familia zitaweza kukidhi mahitaji yao ya msingi na mahitaji ya watoto

idadi ya mahudhurio haikua nzuri

maafisa watendaji waendelee kuwashawishi wananchi wao wahudhurie mikutano ili waweze kuchangia mawazo yao

watu hawapendelei mikutano kwa sababu wanaona inawapotezea muda wao wa kufanya shughuli zao nyingine za kuwaletea kipato

elimu zaidi itolewe kwa wananchi ili watambue umuhimu wa kuhudhuria mikutano

mahudhurio mabaya

waTU WANAJALI SHUGHULIZAO BINAFSI ZA KUWAINFIZIA KIPATO NA SI KUPOTEZA MUDA WAO KUHUDHURIA KWENYE MIKUTANO

ELIMU IENDELEE KUTOLEWA ZAIDI KWA WANANCHI ILI WATAMBUE HAKI YAO YA MSINGI YA KUTOA MAONI NA USHAURI WAO KUWA NINI KIFANYIKE KUTOKANA NA WWKMH

 

kuhamasisha na kushawishi jamii juu ya ushirikishwaji wao katika kuwalea mvccs

 

baadhi ya wananchi hawajui kiswahili, wanongea lugha za kikabila

ni vizuri tukiwa na wakalimani ambao watakuwa wanatusaidia kutafsiri lugha ili kila mtu aweze kuelewa na kuchangia maoni yake

lugha ni chombo cha mawasiliano kwa hiyobasi tukiwa na wakalimani jamii nzima itauelewa mradi wetu vizuri na ushiriki wao utakua mzuri pia

language barrier

kuna baadhi ya maeneo wananchi hawajui kiswahili wanaongea kisukuma na kinyamwezi tu kwahiyo mawasiliano yanakua magumu

kupitia wakalimali tunaweza kumaliza kabisa hili tatizo tunapokua kwenye mikutano