Injira
Temeke Youth Development Network

Temeke Youth Development Network

Temeke/Chang'ombe, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

TEYODEN KWA NA KITUO CHA VIJANA CHA MAKANGARAWE WAFANYA TAMASHA KUHADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIANI KATIKA VIWANJA VYA MAKANGARAWE.

Maneno ya utangulizi

Kwanza kabisa napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza vijana wa kituo cha vijana cha Mangarawe. Jamani si mnajua kwamba sio rahisi sana kufanya kama wenzetu wa Makangarawe walivyofanya,basi tuwape ongera zao.Kwa kweli wamefanya kazi nzuri.Ongera bwana Ismail Mnikite.

Maadhimisho haya yalikuwa ya siku ya UKIMWI duniani huja

Kazi zilizofanyika

 

 

 

2 Ukuboza, 2010
« Inyuma Ahakurikira »

Ibitekerezo (1)

Hongera sana Teyoden kwa kuungana na Makangarawe na Kufanya Jambo Muhimu sana Katika jamii la kuhamasisha kuhusu VVU. Keep it up. ila naona kama taarifa imeishia njiani hivi. tungependa kufahamu zaidi.
5 Ukuboza, 2010

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.