Partner Organizations
ANT Female genital multilation
BUILDING EQUALITY
chayode
COMMUNITY OUTREACH TRUST FUND
Dira Group
Envaya
gender empowerment foundation
Greenbelt Schools Trust Fund
hepi gender and conservation forum
JINSIA NA MAENDELEO
JIPE MOYO WAKINA MAMA MAPINGA
kijogoo group for community development
MAKETE WOMEN UNION
tunajali
Union of Non Governmental Organizations (UNGO)
Voice of Women and Children Tanzania (VWCT)
wanike
Latest Updates

Habari wadau wa Maendeleo. – Napenda kuchukua fursa hii kuwasalimia na kuwatakia maandalizi ya sikukuu zijazo mbeleni,lakini pia kuhakikisha mnaipitia upya mipango kazi tayari kwa maboresho kwa mwaka mpya ujao. – Changamoto kubwa iliyoko mbele yetu ni upashanaji wa habari ambayo bado inasumbua sana na... Read more
December 1, 2016


Dira Group added 5 News updates.
Dira Theatre wakitumbuiza katika viwanja vya ikulu ndogo Morogoro Mjini, katika ziara ya waziri mkuu wa Tanzania.
August 5, 2016

kijogoo group for community development created a Volunteer page.
Kijogoo Group for Community tupo Morogoro mjini,ni Asasi isiyo ya Kiserikali iliyosajiliwa tarehe 08/Jan 2008 na kupewa namba ya usajili 00NGO/0330. – Kwa sasa tuna nafasi moja tu inayohitajika ambayo ni AFISA MIRADI. – AFISA MIRADI:- – Mwombaji wa nafasi hii lazima uwe na Elimu ya kutosha na uwezo wa... Read more
June 1, 2016

Habari zenu wadau, – Kijogoo Group for Community Development Imebahatika kuwasilisha maombi ya ruzuku ubalozi wa Ufaranza,hivyo na hamasisha wadau wote tutumie fursa hii kutuma maombi ya Ruzuku ili tuweze kuisaidia Nchi katika kupambana na mabadiliko ya Tabia Nchi na kusaidia Jamii inayoishi katika mazingira magumu ili sote... Read more
June 1, 2016

Dira Group added Social Mainstreaming for Gender Equality Organization to its list of Partner Organizations.
May 5, 2016


Timu ya ufuatiliaji wa maendeleo na matokeo ya mradi kutoka Kijogoo Group ikiongozwa na Mkurugenzi wake Bwana Ramadhan Omary,Bwana Rajabu Msumi,mwandishi wa habari Bwana Thadei Hafigwa,Bwana Mohamed Nguku na Bi Ignita pamoja Bi Christina Mdaku wakifanya mahojiano na mtu mmojammoja na vikundi Read more
May 5, 2016

kijogoo group for community development added Wataalam Group Gairo to its list of Partner Organizations.
Wataalam Group Gairo. – Karibuni katika ulimwengu wa kidigatali, yaonekana mko nyuma sana hivyo nawaomba na kuwashauri hivi sasa mjiunge na Envaya
May 5, 2016

kijogoo group for community development added Foundation for Civil Society to its list of Partner Organizations.
The Foundation for Civil Society ni Mfadhili mkubwa wa Kijogoo Group for Community Development, Katika kipindi cha miaka 7 tumekuwa tukitekeleza miradi ya Utawala Bora kwa Ufadhili wake na pia imekua ikitujengea uwezo wa kiutendaji sisi Viongozi wa shirika la Kijogoo ili kufanya kazi kwa ufanisi na tija. ... Read more
May 5, 2016

kijogoo group for community development added Social Mainstreaming for Gender Equality Organization to its list of Partner Organizations.
Ama kwa hakika SMGEO tunamahusiano ya kubadilishana uzoefu katika maswala ya uandishi wa miradi na kuepeana taarifa za wafadhili mbalimbali walioko ndani na nje ya nchi
May 5, 2016


Dira Group added 3 News updates.
Dira Theatre wakicheza Ngoma ya Zanzibar (Chasso) katika Maandalizi ya Mwisho ya Kujiandaa na Sherehe za Uzinguzi wa mbio za Mwenge, Uwanja wa Jamhuri Morogoro
April 26, 2016