Kijogoo Group for Community tupo Morogoro mjini,ni Asasi isiyo ya Kiserikali iliyosajiliwa tarehe 08/Jan 2008 na kupewa namba ya usajili 00NGO/0330.
Kwa sasa tuna nafasi moja tu inayohitajika ambayo ni AFISA MIRADI.
AFISA MIRADI:-
Mwombaji wa nafasi hii lazima uwe na Elimu ya kutosha na uwezo wa kuipatia Asasi miradi ikiwemo ya ndani Nchi na nje ya Nchi na uwe tayari kushirikiana na uongozi na Bodi ya asasi na kuridhika na mazingira ya kazi.
kuhusu mahali pa kufanyia kazi unaweza kufanyia kazi mahala popote ili mradi kuwe na mawasiliano kwa kila hatua kuhakikisha kazi zinaenda na mafanikio yanapatikana.
Lakini pia kutakuwa na mkataba kwa kila mradi unaopatikana juhudi zako za kutafuta wafadhili.
Mwombaji utume barua na Cv yako kwenye Email ya Asasi ambayo ni
kijogoogcd@yahoo.com
TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA
MKURUGENZI
KIJOGOO GROUP FOR COMMUNITY DEVELOPMENT