Fungua
ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT

ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT

Tandahimba Sokoine, Tanzania

large.jpg

Hii ni Nembo ya Organization for Land and Agriculture Improvement (OLAI)

12 Agosti, 2015
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (1)

Hassan Luheko Mnaute kiongozi wa Organization for Land and Agriculture Improvement (OLAI). (Kijiji cha Sokoine, kata ya Chaume, wilaya ya Tandahimba - Mtwara - Tanzania) alisema:
Tatizo la migogoro ya Ardhi ni swala ambalo hujitokeza karibu kila kona hapa Tanzania. Ombi langu kwa wananchi, viongozi wa nyanja mbalimbali ikiwa pamoja na serikali, asasi za kiraia, serikali na watu binafsi, na wadau wa sekta ya Ardhi na dini, tushirikiane pamoja kusimamia matumizi bora ya Ardhi, kwa lengo la kupunguza migogoro inayochelewesha shughuli za maendeleo kwa ustawi wa jamii. Ninaomba tuwe pamoja.
2 Januari, 2017

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.