Fungua
ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT

ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT

Tandahimba Sokoine, Tanzania

large.jpg

Kushoto ni mwandishi wa habari wa gazeti la majira Ndg. Godwin Msalichuma, akiwa kwenye ukumbi wa mafunzo ya sheria ya Ardhi yaliyoandaliwa na OLAI kwa ufadhili wa The Foundation for Civil Society, Februal 2014.

28 Julai, 2014
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (1)

Hassan Luhelo Mnaute, Po. Box 62 Tandahimba. Mobile: 0788 715 53 / 0654 269 456. (Kijiji cha Chaume, wilaya ya Tandahimba_Mtwara) alisema:
Baadhi ya Asasi za kiraia, kwa kadiri yake zimesimama au kushindwa kabisa kuendelea kutekeleza malengo ya shirika. Hii ni kwa sababu ya changamoto zinazozikabili, ikiwa pamoja na wanachama wa Asasi kutoyafahamu vizuri malengo ya uanzishwaji wake. Vyanzo vya mapato kwa baadhi ya Asasi ni michango ya wanachama na ruzuku. Katika hali hii, mazingira hayo kumekuwa na tatizo kubwa huku Asasi hizo ni msaada mkubwa kwa jamii. Wito wangu kwa wadau, ni mawasiliano ili kujenga tabia ya kubadilisha uzoefu kwa nia ya kuziimarisha Asasi hizi. Twende pamoja, tutafika kule tunako kusudia.
3 Julai, 2018

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.