Fungua
Muwwe Women/Youth Poverty Reduction Organization

Muwwe Women/Youth Poverty Reduction Organization

Musoma, Tanzania

Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

OMBI LA KUPATA WAFADHILI KUTOKA NCHI MBALIMBALI

AGNES FUNGO (MAKUYUNI-KOROGWE)
1 Mei, 2020 11:41 EAT
Naomba kupata ufadhili wachereni zakudarizi nazakawaida zakushonea napia niwezekupata eneo zuri lakudumu lakufanyia kazi,,tayari ninacherehani moja,,vilevile naomba kupata wadhili tupate kinanda ,,Ngoma,,kayamba zakisasa navifaa vyote vyamuziki,,katika kigango chetu makuyuni,,,, tunaimba kwaya ya Mt.Aloyce Wa Gonzaga kigangoni,,kwamawasiliano,,,,,0626671554
AGNES FUNGO (MAKUYUNI-KOROGWE)
1 Mei, 2020 11:54 EAT
Naomba kupata ufadhili wachereni za kudarizi zakisasa,,,nacherehani zakawaida pamoja nakutafuta sehemu yakudumu yakufanyia shughuli hi yaushonaji,,,kwani tayar ninacherehani moja tu yakushonea,,,kwamawasiliano,,,0626671554
ABISAI JOHN MSIKE (Morogoro)
29 Agosti, 2020 22:42 EAT
Jifunze na ijue Afya yako organization Ni taasisi inayojiusisha na utoaji was elimu na ushauri juu ya maswala mbalimbali ya afya ya binadamu pia tunatoa misaada kwa watoto yatima na watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi(magumu) Tunaomba ufadhili wa ndani na nje ya nchi kwa walio tayari kutusaidia ili tuweze kuisajiri taasisi itambulike kisheria na kuendelea kuisaidia jamii Kwa walio tayari kwa mawasiliano zaidi 0679972364 0739972364
Jane Phillip (Arusha _Moivo)
31 Agosti, 2020 10:20 EAT
Naitwa Jane, Niko Arusha, nahitaji mfadhili ili nipate pesa ya kufungua mgahawa Wa kuuza juice mbalimbali za matunda na mboga, pamoja na vitafunwa vya kila aina.Nimeshanunua vyombo vyote ila sina pesa ya kukodisha ofisi, na kununulia vyakula
Japhet Daudi (Daresalam)
18 Septemba, 2020 16:12 EAT

Natafuta mfadhili wa kunisaidia niweze kusomchuo kikuu ili niweze degree..yoyote atakayeguswa namba yangu ni 0676289360

Aisha Issa (Tabora,Tanzania)
25 Novemba, 2020 15:04 EAT
Naitwa Aisha Issa Mfaume natafuta mfadhili wa elimu ya juu nimepangiwa chuo kikuu cha sua course ya human nutrition lakini nimeshindwa kukidhi gharama zinazohitajika hivyo natafuna mtu yoyote wa kunifadhili.
Aisha Issa (Tabora,Tanzania)
25 Novemba, 2020 15:12 EAT
Naitwa Aisha Issa Mfaume natafuta mfadhili wa elimu ya juu nimepangiwa chuo kikuu cha sua course ya human nutrition lakini nimeshindwa kukidhi gharama zinazohitajika hivyo natafuna mtu yoyote wa kunifadhili.namb yangu ya simu ni 0627772531 Email: aishamheluka@gmail.com
WESTON EMMANUEL KIWONE (KIDATU, MOROGORO)
6 Desemba, 2020 07:10 EAT
Hi,am looking for a sponsorship for the new project of construction of school and home for orphans.I have started my self,I have already bought a pice of land for the projects.please,if you are capable of helping us,contact us through email or mobile phone number +255787616364,Thank you and we love you
JUKWAA LA VIJANA TANZANIA (SIRARI MARA TANZANIA)
15 Januari, 2021 17:07 EAT
Ni matumaini yangu kila mmoja anatamani kusaidia vijana na watoto kufikia lengo la kujitegemea kiuchumi nimekuwa mstari wa mbele kuwasaidia vijana kujiendeleza na kupata ujuzi kama ufundi ushonaji useremala na ujasiriamali kwa kuwawezesha kifedha kupata elimu hyo kwa kuwasomesha bure bila gharama ila kwa sasa nahitaji kupata watu tutakaosaidiana kuwasaidia vijana wa Kitanzania kujiinua kiuchumi wasiliana nami +255785616184
japhar kaliho (gairo -morogoro)
16 Januari, 2021 12:43 EAT (ilihaririwa 16 Januari, 2021 12:50 EAT)

DETAILED INFORMATION FOR THE SPONSORSHIP OF THE ORPHANAGE

Dear ,

Thank you so much for your interest to find sponsors for the orphanage.

From you recommendations on the name of the orphanage, we have decided to change the name of the orphanage to BETHEL ORPHANAGE, to the glory of God.

Bethel orphanage was constructed in the manner that it is capable of hosting 50 children that is, 25 girls and 25 boys. But for the first phase we decided to only host 24 children whereby 12 are girls and 12 boys. So far, we have 8 children in the orphanage 4 girls and 4 boys. But the aim is before January next year 2021 to host 20 children.

Seven children in the orphanage go to public primary school and one child attends the kindergarten classes at the Church.

The Orphanage has 6 staffs namely; Manger, matron, accountant, cook, guard, cleaner. Among the staffs, only the matron stays in the orphanage. She has a room in the orphanage where she leaves.

Vision, Mission and Goals

Our vision is a world where every child gets the chance to grow in a safe and stable environment and becomes independent as a result.

Bethel Orphanage aim to provide a safe and stable environment as well as keys to personal development to orphans in Gairo; in this way, we hope to offer them prospect for their future and independence.

We also aim to have a direct positive impact on children’s livelihood at local level, therefore building and maintaining an orphanage to meet the children’s basic needs on the long term:

  • Housing
  • Food
  • Access to health care
  • Access to education.

Summary of the costs

The Orphanage needs funds for the operational of the daily activities of the orphanage. That is food cost, educational cost, clothing cost, health cost, electricity bill, staffs’ allowances and maintenance cost. Each child in the orphanage needs Tsh. 375,100 per month for food, educational, clothing and health. Electricity bill Tsh. 85,000 per month, staffs’ allowances Tsh. 1,650,000 per month, repair and maintenance Tsh. 500,000 per month.

Kindly find the breakdown of all the costs in the next page.

  • Breakfast, lunch and supper. (FOOD)

S/no.

Item

1 child per month (TSH).

Quantity

1

Tea

10,000

Daily

2

Ugali/rice

25,000

Daily

3

Beans

15,000

Daily

4

Vegetables

10,000

Daily

5

Cooking oil

19,000

Daily

6

Sugar & salt

12,000

Daily

7

Fruits

6,000

Daily

8

Snacks

10,000

Daily

9

Ingredients

15,000

Daily

9

Meat/chicken

9,000

Weekly

 

Total monthly

 

131,000

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

  • School requirements (monthly)(SCHOOL)
    • Nursery school pupil

No.

ITERM

QTY

COST @ (Tsh.)

TOTAL (Tsh.)

a)

School uniform

1 pair

23,000

23,000

b)

School leather shoe

1 pair

25,000

25,000

c)

Exercise book

6 pcs

700

4,200

d)

School bag

1pc

18,000

18,000

e)

Pencils

3 pcs

200

600

f)

School Sock

2 pairs

2,000

4,000

GRAND TOTAL

74,800

 

 

                                          

 

 

 

  • Primary school pupil

No.

ITERM

QTY

COST @ (Tsh.)

TOTAL (Tsh.)

a)

School uniform

1 pair

25,000

25,000

b)

School leather shoe

1 Pair

30,000

30,000

c)

Sweater/pullover

1 Pair

15,000

15,000

d)

White socks

2 Pairs

2,000

4,000

e)

Exercise book

10 pcs

500

5,000

f)

Pen

5 pcs

500

2,500

g)

Pencil

3 pcs

200

600

h)

Remedial classes

 

5,000

5,000

i)

Examination fee

 

4,000

4,000

TOTAL

91,100

  • Clothing

No.

ITERM

QTY

COST @ (Tsh.)

TOTAL (Tsh.)

a)

Underwear

4 pairs

2,500

10,000

b)

Trouser/skirt

3 Pair

7,000

21,000

c)

Shirt/dress

3 Pair

5,000

15,000

d)

Jacket/pullover sweaters

2 Pairs

5,000

10,000

e)

Belt

1pc

10,000

10,000

f)

Rubber shoe  

1pair

10,000

10,000

g)

Shoe

1 pair

15,000

15,000

h)

Sandals

1 pair

3,000

3,000

i)

Bar soap

2 bars

2,500

5,000

j)

Body lotion

1 pc

5,000

5,000

k)

Tooth paste

1 pc

2,000

2,000

l)

Tooth brush

2pcs

500

1,000

m)

Shoe polish

1 pc

2,000

2,000

n)

Shoe brush

1 pc

1,000

1,000

o)

Nail cutter

1 pc

1,000

1,000

p)

Hair cut/hair dressing

Twice

1,000

2,000

TOTAL

113,000

 

                                          

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

  • Health Insurance fund (Health)
  • Tsh 30,000 for 1 child per year (Community health fund). Any health issue that will lead to a referral to an hospital outside the district, this health insurance fund will not work. It is only meant to operate within the district.
  • Emergency money; Tsh. 10,000. This amount will stand for small emerging issues like pains that do not need to go to the hospital.

 

  • Electricity bill

ITERM

QTY

COST @ (Tsh.)

TOTAL (Tsh.)

Unit

240 units

355

85,000

 

 

       1. Manager           Tsh.500,00

2.Matron                Tsh. 300,000

3.Cook                   Tsh. 150,000

4.Accountant         Tsh. 450,000

5.Guard                 Tsh. 150,000

6.Cleaner               Tsh. 100,000

Total               Tsh. 1,650,000

  • Repair and maintenance
  • Tsh. 500,000 .
  • E-mail. japharkaliho@yahoo.com /japharmbegu@gmail,com  phone; +255623614642 or +255674 786375

 

paulo said (Dar es salaam)
21 Januari, 2021 11:14 EAT

kwa jina naitwa paulo said juma,nasoma chuo cha cha uhasibu kurasini ngazi ya diploma level 5,Napenda kuwaomba msahada ndugu,rafiki na wafadhili mchango wa kunisaidia kulipa ada iloyobaki nadaiwa tsh 600,000=/ambayo nimeshindwa kuona matokeo yangu ya kuendelea na ngazi ya level 6,mpaka sasa simebaki njia panda,Natamani ndoto zangu ziweze kutimia ili nami nije kusaidiwa wezangu wenye changamoto kama zangu .kwa masailiano yangu phone +255620126181/ email.paulsaid528@gmail.com

Mungu awabariki,awajalie afya njema daima wafadhili.

Charisma Tryphon Lutina (Maswa SImiyu)
28 Januari, 2021 20:21 EAT
Naomba kusaidiwa ufadhili wa kujenga kituo cha watoto yatima na walemavu waliokosa msaada kabisaa Maswa SIMIYU.Kwa ataye guswa hawa watoto ni watoto wetu na nikitu ambacho tunamfanyia Mwenyezi Mungu.Naombeni mchango wenu Maswa hamna kituo hata kimoja, MUNGU AWABARIKI SANA SANA!!
Justine Peter (Njombe)
16 Aprili, 2021 18:00 EAT
Nasoma mwaka wa pili clinical officier natafuta mfadhili wa kuniwezesha kuendelea na masomo yangu 0762847467
Gloria W.Magushani (Mbezi Beach B,kKimondoni Dar es salaam .Tanzania)
26 Mei, 2021 20:56 EAT
Natafuta wafadhili kwa ajili ya kusaidia NGO yetu inayojihusisha na.kusaidia watoto yatima na waishio katika mazingira magumu,kutoa elimu na elimu ya ujasiriamali kwa vijana for less prevelege and widow na watu wenye ulemavu.Inaitwa Social Security Initiative (SOSEI)
Hilary (Aruy)
4 Julai, 2021 15:21 EAT
Naomb mdhamin wa kunisomesh
Immu (Pemba)
8 Julai, 2021 15:27 EAT
Naitaji mfadhili wakunisaidia vifaa vya studio nakinanda naspika pamoja navitu vya studio ili niweze kuendeoeza kipaji changu
Immu (Pemba)
8 Julai, 2021 15:28 EAT
Naitaji mfadhili wakunisaidia vifaa vya studio nakinanda naspika pamoja navitu vya studio ili niweze kuendeoeza kipaji changu kwa mawasiliano Zaid 0778829896 au0718152266
Yusuph Edward (Tanzania)
21 Agosti, 2021 23:24 EAT
DREAMER HOPE FOUNDATION Tunaomba msaada kwa ajiri ya kutoa elimu vijijini kuhusu swala la faida kwa wakina mama na wasichana juu ya njia salama za uzazi wa mpango na pia umuhimu wa matumizi ya pedi wakati wa hedhi. Tunaweza kuwasiliana 0743835245
Neema Kalei (Manyara)
4 Septemba, 2021 20:15 EAT (ilihaririwa 4 Septemba, 2021 20:26 EAT)
Naomba kusaidiwa ufadhili wa kusomesha watoto wangu kwenye shule za English Medium zinazotoa elimu bora.no zangu ni 0766823369
Pst Godlove Indiael Nanyaro (Kitumbeine Ilorienito Arusha)
13 Septemba, 2021 13:19 EAT
Kanisa letu la Evangelistic Assembles of God Tanzania familia ya Ilorienito tunatafuta mfadhili wakusaidiana nasi katika maeneo makuu manne ya Kanisa tuliyo nayo 1.kuhamasisha jammii ya kimasai kuacha Mila potofu ya ukeketaji na kupeleka watoto shule. 2.kanisa linajihushisha na kusaidia wajane na yatima waliopo katika eneo la mji wa Ilorienito 3.kanisa linasaidia wasiojiweza kwa kuwapatia kuku /mbuzi /na mabati 4 kwa namna watu wanavyo jitolea . 4.kanisa linajihushisha ya mradi wa kilimo na ufugaji nyuki. Tunaomba msaada wenu watanzania na wahisani mbalimbali kuikomboa jamii yetu nzuri ya kimasai ya Ilorienito Arusha Tanzania . Ndimi mch.Godlove Indiael Nanyaro wa Ilorienito Arusha

Ongeza Ujumbe Mpya

Karibisha watu kushiriki