Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

OMBI LA KUPATA WAFADHILI KUTOKA NCHI MBALIMBALI

John Ryamera (Musoma - Mara)
June 3, 2011 at 9:43 AM EAT

- Kutokana na kazi tunazozifanya tunaomba kupata wafadhili ambao tutashirikiana kutoa huduma kwa jamii

strecco (kisarawe pwani)
June 8, 2011 at 12:05 PM EAT (edited March 26, 2012 at 8:06 AM EAT)

ni vizuri kupata wafadhili mbalimbali kutoka nje  kwa sababu ya ufinyu wa bajeti kwa nchi zinazoendelea sasa.

CHAMA CHA ALBINO WILAYA YA KINONDONI (MAGOMENI MWEMBE CHAI)
June 8, 2011 at 12:45 PM EAT (edited March 26, 2012 at 8:06 AM EAT)

Ngu chama cha Albino wilaya ya kinondo k inaomba kupata wafadhili abao wata tuwezesha kupata madawa ya kuziwiya mionzi mikali ya jua ambayo utusaidia kulinda gozi zetu zisialibike na vdonda vya kansa ya ngozi ambayo uasbabisha vifo kwa jamihi yetu sisi albino.ayo

TULINDANE KIWALANI GROUP (ILALA KIWALANI DA RE SALAAM)
June 8, 2011 at 12:48 PM EAT (edited March 26, 2012 at 8:06 AM EAT)

TUNAHITAJI KUPATA MAFUNZO JINSI YA KUANDIKA MCHANGANUO KWENDA KWA WAFADHILI MBALIMBALI

CHAMA CHA ALBINO WILAYA YA KINONDONI (MAGOMENI MWEMBE CHAI)
June 8, 2011 at 12:56 PM EAT (edited March 26, 2012 at 8:06 AM EAT)

Ngu msamalia mwema napenda kuomba na kusisitiza kwamba jamihi yetu ya albino ina tatizo lkubwa la watu waliokosa kupata fulas ya elimu kwiyo naomba tusaidiwe eneo la elimu asante sana

Sesilia Anthony Myonga (Morogoro Tanzania)
June 14, 2015 at 4:33 PM EAT
Nahitaji mfadhili,mimi mtunzi wa vitabu ila sijapata msaada wa kuchapa,kuprint na kutoa au kuuza.
[message deleted]
[message deleted]
MTAZAMO (BUKOBA KASHAI)
September 7, 2016 at 7:14 AM EAT
KIKUNDI CHA MTAZAMO BUKOBA KAGERA KASHAI Ni kikundi kinacho jishugulisha na kilimo cha mboga mboga tunaitaji wafadhili toka sehemu mbalimbali nje na ndani tuweze kuelimika zaidg
lamecknjagwa@gmail.com (Shirati Rorya Mara Tanzania)
May 21, 2017 at 2:02 PM EAT
LENPOC inaomba kupata ufadhili kutoka nje na ndani ya nchi,mpaka sasa tunashughulika na walemavu wasio na uwezo,tulianza wenyewe lakini sasa tumekwama kuwasaidia
Masha Masanja (Shinyanga)
May 26, 2017 at 6:46 PM EAT

MASHA PRODUCTS TUJIAJIRI CENTRE

Ninapenda kupata mfadhili kwa ajili kuanzisha Ofsi au Training Centre itakayohusika na kufundisha vijana kujiajiri kwa kuuza bidhaa za asili na rahisi zisizotumia mitaji mikubwa.

 

Anaweza/wanaweza kuwasiliana nami kupitia 0622925000

AIRINI (Dar ES salaam)
April 10, 2018 at 4:53 PM EAT

nahitaji mfadhili kutokana na masomo ya ujasiliamali niliyosoma ili niweze kusonga mbele kwani nina ndoto za kufika mbali zaidi

Mwanaidi Awadhi (Tanga Tanzania)
April 28, 2018 at 9:36 PM EAT
Tunaomba ufadhili kwaajili ya kusaidia wanawake vijijini kwa kufungua darasa la mafunzo ya ujasiliamali kwa wakina mama
Adam Hussein (Dodoma ,Area E)
October 9, 2018 at 10:11 AM EAT
Nahitaji mfadhili wa kunisaidia kimasomo.Mimi ni mwanafunzi wa Taasisi ya teknologia ya Dar es Salaam (DIT) stashahada ya Uhandisi wa mawasiliano angani (Telecommunication engineering)
Bainomugisha Kahuta (Mwanza - Tanzania )
October 19, 2018 at 12:31 PM EAT

Nieandaa kitabu cha jitambue; kimeishaandaliwa master; nahitaji mfadhili wa   kuniwezesha kutoa nakala nyingi ili kisambazwe kwa vijana. 

Bainomugisha Kahuta (Mwanza - Tanzania )
October 19, 2018 at 12:33 PM EAT

@MTAZAMO (BUKOBA KASHAI): 

Mnataka kuelimishwa kuhusu nini; sisi shirika letu linaelimisha njia za kutengeneza mbole wenyewe  ili muache kutumia mbolea za viwandani; Ofisi zetu ziko Mwanza. 

JOHN .C.MWAKALILE (BUSEGA -SIMIYU)
December 21, 2018 at 10:53 PM EAT

Natafuta mfadhili toka ndani au nje ya nchi tutakaeshirikiana naye kutoa elimu bora na inayoendana na kauli mbiu ya Serikali awamu ya 5 "TANZANIA YA VIWANDA" kwa kuimarisha senta niliyonayo sasa ya Lamadi Science Liberation Centre - LSLC inayofundisha masomo ya ziada  kwa  kidato 1-6. Pia kuanzisha Pre-Primary English Medium School itakayoitwa EXCELLENTIAL  NURSARY  & ENGLISH MEDIUM SCHOOL which will receive children of 3-5 years old and study for three years, that means             1st Year - Baby class, 2nd Year - Kindergaten I & 3rd Year - Kindergaten II.  Elimu yangu ni Shahada ya I ya Sayansi ya Kilimo (SUA 2017) & kwa sasa nasoma Shahada ya II ya Project Management (Masters of Project Management) - Open University of Tanzania at Simiyu region centre.  Email: charlesmwakalile@gmail.com                Mobile: 0688798742 & 0762565671

Jennier Rubhi (Lushoto - Tanga Tanzania)
April 28, 2019 at 12:28 PM EAT

Mimi ni mwimbaji wa kwaya ya Mt. Secilia iliopo Lushoto koani Tanga. Tunaomba ufadhili wa  vifaa vya muziki, kama kinanda, ngoma, matohazi, kaymba na ala nyingine za muziki. ili tuweze kusonga mbele katika kulieneza neno la Mungu kwa njia ya uimbaji kwani maandiko yanasema kuimba ni kusali mara mbili. 

kwa mawasiliano ni Email: stcesiliasedo@yahoo.com au rubhijannifer@gmail.com

naba ya simu 0783887801

Bupe (Chanika)
April 29, 2019 at 5:07 PM EAT

Naitwa Bupe Kitanda, naishi Dsm,natafuta mfadhili anisaidie mtaji wa kufuga kuku,mabanda nimeshaanza kuyajenga bado kumalizia

0715 500 091

DEVOTHA BENEZETH (NGARA MJINI)
September 3, 2019 at 9:35 PM EAT

Naomba kusaidiwa ufadhili wa kuanzisha biashara ya stetionary tayari nina computar mpakato moja na printer moja. 


Add New Message

Invite people to participate