maisha bora kwa kila mwanajamii
Mabadiliko Mapya
TUNDUMA YOUTH DEVELOPMENT imeongeza Habari.
kwa vijana waishio TUNDUMA,tunawatangazia nafasi za kujiunga na asasi yenu ya TUNDUMA YOUTH DEVELOPMENT.Kwa mawasiliano muone mwl. erick mrema wa jk Nyerere secondary
2 Mei, 2012
TUNDUMA YOUTH DEVELOPMENT imeumba ukurasa wa Jitolee.
asasi ina mpamgo wa kuanzisha mradi wa kufuga samaki ,tatizo ni mtaalamu wa kutusaidia kufuga samaki.kwa sasa tunahitaji ushauri na mradi ukianza tutahitaji mtaalamu wa kutunza samaki.mawasiliano 0768373804
2 Mei, 2012
TUNDUMA YOUTH DEVELOPMENT imeongeza Envaya kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
22 Aprili, 2012
TUNDUMA YOUTH DEVELOPMENT imeumba ukurasa wa Miradi.
Kwa sasa asasi ina mkakati a kuanzisha bwawa la kufuga samaki katika maeneo ya kaloleni
22 Aprili, 2012
TUNDUMA YOUTH DEVELOPMENT imeumba ukurasa wa Historia.
TUNDUMA YOUTH GROUP ni umoja ulioanzishwa na vijana wa ishio Tunduma kwa nia kubwa ya kusaidia vijana ili kufikia malengo mbalimbali waliyojiwekea katika maisha yao baada ya kuhitimu masomo katika ngazi mbalimbali. – malengo ya asasi hii isiyo ya kiserikali ni haya yafuatayo – 1.kutoa elimu juu ya ukimwi na magonjwa... Soma zaidi
22 Aprili, 2012
TUNDUMA YOUTH DEVELOPMENT imeumba ukurasa wa Timu.
Mwenyekiti ERICK MREMA – Katibu :LUGANO MWAKITALIMA – Mtunza fedha:ELIZABERTH NGOYA – Wajumbe:BURCHARD KISHAMBA – :PATRICK GUMBO – :SHABANI MRISHO
22 Aprili, 2012
Sekta
Sehemu
TUNDUMA,MBEYA, Mbeya, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
MATUKIO