Log in
TUNDUMA YOUTH DEVELOPMENT

TUNDUMA YOUTH DEVELOPMENT

TUNDUMA,Mbozi,Mbeya Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

TUNDUMA YOUTH GROUP ni umoja ulioanzishwa na vijana wa ishio Tunduma kwa nia kubwa ya kusaidia vijana ili kufikia malengo mbalimbali waliyojiwekea katika maisha yao baada ya kuhitimu masomo katika ngazi mbalimbali.

malengo ya asasi hii isiyo ya kiserikali ni haya yafuatayo

1.kutoa elimu juu ya ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa

2.kutoa elimu ya ujasilia mali kwa vijana

3.hifadhi ya mazingira

4.mikopo kwa ajili ya biashara ndogondogo

5.shughuli za kilimo na ufugaji wa kuku na samaki.

malengo haya yaliwekwa na wana asasi baada ya kuangalia huitaji uliopo katika jamii ya watu wa TUNDUMA.