Log in
TUNDUMA YOUTH DEVELOPMENT

TUNDUMA YOUTH DEVELOPMENT

TUNDUMA,Mbozi,Mbeya Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

asasi ina mpamgo wa kuanzisha mradi wa kufuga samaki ,tatizo ni mtaalamu wa kutusaidia kufuga samaki.kwa sasa tunahitaji ushauri na mradi ukianza tutahitaji mtaalamu wa kutunza samaki.mawasiliano 0768373804