Log in
MAISHA Foundation

MAISHA Foundation

Tabora, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

lengo la shirika letu ni kutoa elimu juu ya kujikinga na maambukizi mapya ya VVU/UKIMWI  kwa vijana kuanzia umri wa miaka 18 na kuendelea.

Latest Updates
MAISHA Foundation created a History page.
Shirika letu lilianza mwaka 2008 kwa lengo la kuboresha maisha ya wanajamii katika jamii yetu inayotuzunguka ili iweze kujikinga na maambukizi ya VVU haswa walengwa wakiwa ni vijana kati ya miaka 18 hadi 45 ambao ndio nguvu kazi ya taifa. Shirika lilianza kwa kutoa eimu kwa njia za kukusanya makundi rika, wanafunzi mashuleni na wafanyakazi za... Read more
June 13, 2012
MAISHA Foundation joined Envaya.
June 13, 2012
Sectors
Location
Tabora, Tanzania
See nearby organizations