Fungua
MAISHA Foundation

MAISHA Foundation

Tabora, Tanzania

lengo la shirika letu ni kutoa elimu juu ya kujikinga na maambukizi mapya ya VVU/UKIMWI  kwa vijana kuanzia umri wa miaka 18 na kuendelea.

Mabadiliko Mapya
MAISHA Foundation imeumba ukurasa wa Historia.
Shirika letu lilianza mwaka 2008 kwa lengo la kuboresha maisha ya wanajamii katika jamii yetu inayotuzunguka ili iweze kujikinga na maambukizi ya VVU haswa walengwa wakiwa ni vijana kati ya miaka 18 hadi 45 ambao ndio nguvu kazi ya taifa. Shirika lilianza kwa kutoa eimu kwa njia za kukusanya makundi rika, wanafunzi mashuleni na wafanyakazi za... Soma zaidi
13 Juni, 2012
MAISHA Foundation imejiunga na Envaya.
13 Juni, 2012
Sekta
Sehemu