Fungua
LOVE CARE TO ALL

LOVE CARE TO ALL

Tabora, Tanzania

lengo la shirika langu ni kutoa ushauri kwa vijana juu ya kujikinga na maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI, hii itawasaidia vijana kujitambua na kuzijua fursa walizonazo katika jamii iliyozungukwa na maradhi.

Mabadiliko Mapya
LOVE CARE TO ALL imeongeza Habari.
kukingana na ukubwa wa tatizo shirika limeamua kuchukua idadi ndogo ya walengwa ambao litaanza nao kwanza kwa awamu ya kwanza kulingana na uwezo wa shirika na mchango wa wafadhili. – Kwa upande wa makundi shiriki yote yameanza kufanya kazi za mikono kama ujasiriamali mdogo kilingana na rasilimali walizo nazo katika jamii yao, baadhi... Soma zaidi
17 Juni, 2012
LOVE CARE TO ALL imeumba ukurasa wa Timu.
Wanaoongoza shirika: – 1.Mkurugenzi wa shirika:Rachel Rashidy – 2.Mratibu wa shirika:Magreth kokuhabwa.
13 Juni, 2012
LOVE CARE TO ALL imeumba ukurasa wa Miradi.
Shirika letu linfanya shughuli ziuatazo: – 1. kuibua vikundi vya ujasiriamali kulingana na rasilimali walizo nazo. – 2.Kutoa elimu ya ujasiriamali ya nanma ya kutumia rasilimali zinazowazunguka – 3.kutembelea makundi ya uzalishaji mali kila mwezi ili kufuatilia maendeleo yao, changamoto wanazokutana nazo na... Soma zaidi
13 Juni, 2012
LOVE CARE TO ALL imeumba ukurasa wa Historia.
shirika lilianzishwa mnamo mwaka 2011 mwezi wa 12 mkoani Tabora likiwa na lengo la kutoa elimu juu ya kujikinga na maambukizi mpya ya VVU kwa vijana kati ya miaka 18 na 45. Shirika liliweka mikakati juu ya kulipata kundi hili la vijana lililo kwenye hatari kubwa ya kukumbwa na janga hili la UKIMWI. – Tangu kuanzishwa kwa shirika... Soma zaidi
13 Juni, 2012
LOVE CARE TO ALL imejiunga na Envaya.
12 Juni, 2012
Sekta
Sehemu