Log in
LOVE CARE TO ALL

LOVE CARE TO ALL

Tabora, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

kukingana na ukubwa wa tatizo shirika limeamua kuchukua idadi ndogo ya walengwa ambao litaanza nao kwanza kwa awamu ya kwanza kulingana na uwezo wa shirika na mchango wa wafadhili.

Kwa upande wa makundi shiriki yote yameanza kufanya kazi za mikono kama ujasiriamali mdogo kilingana na rasilimali walizo nazo katika jamii yao, baadhi yao wameelezea changamoto wanazokutana nazo wakati wa utendaji kazi kama zinalenga kuwakwamisha ikiwa tu hawata simama imara.

 Lakini kutokana na changamoto hizo zinazo wakabili vijana waliopo kwenye programu yetu tukiwa kama shirika tumeamua kuztchukua na kuzitendea kazi ili kuleta maendeleo ya viana kama tulivyolenga kuwatoa ijana katika lindi la umasikini ambalo limekuwa likwasukuma vijana wengi kijiingiza katika biashara karamu kama vile kuuza madawa ya kulevya na kuuza miili yao huvyo wengi wao kujikuta wakipata maambukizi ya VVU.

June 17, 2012

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.