LICHIDE lengo kuu ni kuyatambua na kuyasaidia makundi ya kijamii yalio katika hatari ya kuathiriwa na umasikini wakiwemo watoto yatima na walio katika mazingira hatarishi,walemavu, wajane, wazee wanaolea watoto yatima, watu wanaishi na virusi vya UKIMWI na kuishirikisha jamii kushiriki kusaidia makundi ya kijamii yalio katika hatari ya kuathiriwa na umasikini.
Mabadiliko Mapya
THE LIFE HOOD OF CHILDREN OF DEVELOPMENT SOCIETY imeumba ukurasa wa Miradi.
Kushirikisha jamii kushiriki kusaidia watoto yatima na walio katika mazingira magumu
18 Juni, 2011
THE LIFE HOOD OF CHILDREN OF DEVELOPMENT SOCIETY imejiunga na Envaya.
18 Juni, 2011
Sekta
Elimu, Afya, UKIMWI, Haki za binadamu, Nyingine (Jamii kuijengea uwezo wa kujiongezea kipato ujasiliamali, biashara ndogo ndogo na ufugaji)
Sehemu
Sumbawanga, Rukwa, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu