Tumeweza kufanikisha mradi wetu katika kata za Kalambazite, Miangalua na Kipeta kuzijengea uwezo kamati za huduma za jamii na wamweza kuanzisha mifuko ya kijamii yenye lengo la kusaidia makundi ya kijamii yalio katika hatar ya kuathiriwa na umasikini