Envaya
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

Ufuatiliaji wa taarifa za uandikishwaji katika daftari la wapiga kura linaloboreshwa.

INVEST IN WOMEN ORGANIZATION (Dodoma)
3 Juni, 2015 12:10 EAT

Invest in Women Organization (IWO), linatoa wito kwa makundi yote ya watanzania waishio mijini na vijijini kuhakikisha kuwa wanafuatilia taarifa ya daftari la wapiga kura limefikia wapi kwenye mkoa, wilaya, kata na vijiji vyake. ni haki ya kila mtanzania kushiriki kwenye zoezi hili, hasa wanawake na vijana.

INVEST IN WOMEN ORGANIZATION (Dodoma)
3 Juni, 2015 12:13 EAT

Wenzetu mikoa mingine mmefuatilia daftari hili? kwetu Dodoma tunasikia linaendelea huko vijijini sielewi huku mjini litaanza lini?


Ongeza Ujumbe Mpya

Karibisha watu kushiriki