Invest in Women Organization (IWO), linatoa wito kwa makundi yote ya watanzania waishio mijini na vijijini kuhakikisha kuwa wanafuatilia taarifa ya daftari la wapiga kura limefikia wapi kwenye mkoa, wilaya, kata na vijiji vyake. ni haki ya kila mtanzania kushiriki kwenye zoezi hili, hasa wanawake na vijana.