Fungua
HISIA CULTURAL TROUPE

HISIA CULTURAL TROUPE

IRINGA, Tanzania

KATIKA UZINDUZI WA GAZETI LA "KWANZA JAMII" HISIA IMEALIKWA KUBURUDISHA. KWA WAKAZI WA IRINGA NA VITONGOJI VYAKE NI WAKATI MZURI WA KUSHUHUDIA SANAA YENYE UHAKIKA, YENYE NIDHAMU NA ILIYOKWENDA SHULE. KWA AMBAO HAWATAPATA FURSA YA KUFIKA ENEO LA SHUGHULI MTATAZAMA KUPITIA KATIKA KURASA ZA MTANDAO HUU

21 Oktoba, 2011
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (2)

isihaka (mbeya) alisema:
nawatakieni mafanikio mema ktk kuelimisha jamii ya wana iringa na tz kwa ujumla
31 Oktoba, 2011
isihaka (mbeya) alisema:
gazeti liwe kenye kudumu co leo lipo kesho halipo haitapendeza, inshaalah mtafika mpatakapo
31 Oktoba, 2011

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.