Parts of this page are in Swahili. Edit translations
HISIA kinaomba kupata mfanyakazi wa kujitolea ambaye atatusaidia kufanya shughuli za ukatibu muhtasi. Hatuna malipo yoyote kwa kazi hiyo bali mtu huyo atapata faida ya kufundishwa upigaji wa picha za video, picha za mgando na maswala ya Uigizaji wa filamu.
Aidha kama atakuwa amefanya kazi hiyo kwa uaminifu na uadilifu huenda akaajiriwa kama mfanyakazi wa muda maalum wa Hisia.
Kwa mawasiliano zaidi
0652600002, 0786439740, 0754439740
Email: hisiaone@gmail.com, hisiaone@yahoo.com