asasi ya fuwavita inategemea kuwa na mafunzo endelevu juu ya ushiriki wa mafunzo ya ujasiriamali na usindikaji vyakula tunaomba ushauri wako nini kifanyike kabla ya kuanzaa mchakato huo?