Envaya

LENGO:

Kutoa nafasi kwa wanawake viziwi kuwa na mikakati ya kujikomboa kutokana na hali ngumu ya maisha, FUWAVITA inajukumu la kuwawezesha kupata nafasi ya kushiriki katika nyanja mbalimbali hususani ujasiriamali na mahitaji mengine muhimu na pia kuielimisha jamii kuelewa changamoto zao na vipao mbele.

Mabadiliko Mapya
FURAHA YA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KWA VIZIWI TANZANIA(FUWAVITA) imeongeza Abilis Foundation kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
14 Machi, 2013
FURAHA YA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KWA VIZIWI TANZANIA(FUWAVITA) imeongeza Foundation for Civil Society kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
14 Machi, 2013
FURAHA YA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KWA VIZIWI TANZANIA(FUWAVITA) ina mada mpya kuhusu wanawake na ujariamali.
FURAHA YA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KWA VIZIWI TANZANIA(FUWAVITA): asasi ya fuwavita inategemea kuwa na mafunzo endelevu juu ya ushiriki wa mafunzo ya ujasiriamali na usindikaji vyakula tunaomba ushauri wako nini kifanyike kabla ya kuanzaa mchakato huo?
14 Machi, 2013
FURAHA YA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KWA VIZIWI TANZANIA(FUWAVITA) imeumba ukurasa wa Miradi.
1.Katika kujenga uwezo wa wanachama – ili kuboresha maisha yao. – 2. Kuendeleza ubia/urafiki na vikundi vya – watu wenye walemavu ambavyo – vinadharauliwa katika jamii – 3. kuwajenga wanachama uwezo wa – kujitangaza na kuwakilisha matakwa – yao kwa kupitia njia za ushawishi hasa ... Soma zaidi
8 Machi, 2013
Sekta
Sehemu
Dar es Salaam, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu