Log in
ENYOITO WOMEN GROUP

ENYOITO WOMEN GROUP

TANZANIA, Tanzania

kikundi kilianza kikiwa na wanachama watano,kikiwa na malengo yafuatayo:-

1.kukuza ushirikiano kwa ajili ya kujiinua kiuchumi

2.kusaidiana katika matatizo mbalimbali.

3.kukuza kipato cha familia mfano,kusomesha watoto n.k

4.kupata mafunzo mbalimbali ya kuhusu  maswala ya ujasiriamali,afya,elimu,makazi na malazi.

5.kuondoa umaskini katika familia na jamii kwa ujumla.

6.kuweza kujikimu na kuweza kuondokana na janga la ukimwi kwa kupitia ujasiriamali.

7.kujihusisha na maswala ya utamaduni  kwa lengo kuelimisha,kuburudisha,kukosoa,kushauri,kuasa pamoja kuhifadhi Amali za jamii