Log in
ENYOITO WOMEN GROUP

ENYOITO WOMEN GROUP

TANZANIA, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

1.KUTOA ELIMU YA UJASIRIA MALI   2.KUTOA AJIRA VIJANA  3.KUTOAELIMU KWA WAGENI TOKA NJE YA NCHI JUU YA USHONAJI WA SHANGA  4.KUTOA SEMINA,KWA WENGINE NA KUPEWA SEMINA

Latest Updates
ENYOITO WOMEN GROUP updated its Team page.
MRATIBU/MW/KITI:MARY JOSEPH MOLLEL – KATIBU:NEEMA Z.MOLLEL – MHAZINI:PRISCA ABRAHAM MOLLEL
May 3, 2013
ENYOITO WOMEN GROUP created a History page.
kikundi kilianza kikiwa na wanachama watano,kikiwa na malengo yafuatayo:- – 1.kukuza ushirikiano kwa ajili ya kujiinua kiuchumi – 2.kusaidiana katika matatizo mbalimbali. – 3.kukuza kipato cha familia mfano,kusomesha watoto n.k – 4.kupata mafunzo mbalimbali ya kuhusu maswala ya... Read more
May 3, 2013
ENYOITO WOMEN GROUP added 8 News updates.
WANAKIKUNDI WAKIWA KWENYE MAANDALIZI YA BIBI ARUSI,IKIWA NI SEHEMU MOJA WAPO YA SHUHULI ZAO
April 29, 2013
ENYOITO WOMEN GROUP created a Team page.
MRATIBU/MW/KITI:MARY JOSEPH MOLLEL – KATIBU:NEEMA Z.MOLLEL – MHAZINI:PRISCA ABRAHAM MOLLEL
April 29, 2013
ENYOITO WOMEN GROUP joined Envaya.
April 29, 2013
Sectors
Location
TANZANIA, Arusha, Tanzania
See nearby organizations