Halmashauri za Wilaya ziweke bajeti kwa ajili ya mafunzo kwa watendaji Kata,Vijiji, na Halmashauri za Vijiji/Kamati za Vijiji
Kuwepo na mafunzo ya mara kwa mara kwa watendaji na wenyekiti wa Vijiji/Vitongoji
Viongozi wa Vijiji/Vitongoji wawe na dhana yakujitolea katika kujifunza na utafutaji wa taarifa mbalimbali, kuliko hali ya sasa ya kutanguliza posho zaidi kuliko kujifunza.
Tumekuwa tunapata shida sana katika mafunzo viongozi wengi wa vijiji wakiitwa katika mafunzo cha kwanza kuuliza ni posho badala ya kujifunza na wakati huo kiongozi uyo hana utambuzi wowote wa nafasi ya uongozi wake, hali ni mbaya sana vijijini viongozi wengi wa vijiji hawana utambuzi wa mambo ya utawala bora kabisa yeye kaa katika uongozi kwa kujua kuongea sana au vinginevyo jitihada kubwa zinahitajika sana kwani jamii iko kwa viongozi wa ngazi ya chini vitongoji na vijiji...
Comments (2)