Envaya

kuelimisha vijana na jamii kwa ujumla juu ya kupambana na changamoto mbalimbali za kimaisha zinzo wakabili, Aidha BAYOICEN Inalengakuwaunganisha vijanakuweza kupata na kutoa taarifa elimishi kwa vijana wenzao na hata kwa jamii kwa ujmla kwa njia ya sanaa , kituo cha habari kwa vijana, kushiliki katika makongamano ya kijamii na shughuli za  kujitegemea

     Pia BAYOICEN Inalenga kuwasaidi watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi, ushawishi na utetezi wa haki za mtoto

Mabadiliko Mapya
Bahi Youth Information Centre imejiunga na Envaya.
16 Machi, 2012
Sekta
Sehemu