FCS Narrative Report
Utangulizi
BAGAMOYO CARE ORGANISATION
BACAO
MRADI WA KUJENGA UWEZO WA ASASI KWA MIEZI MITATU
FCS/RSG/1/11/334
Tarehe: 01/07/2011 | Kipindi cha Robo mwaka: 30/09/2011 |
HAMISI TOSHA HAMISI. MOB. 0658438778
0753438778
E-MAIL:bagacare.org@gmail.com
TOVUTI.http:/ / envaya.org/ BACAO
0753438778
E-MAIL:bagacare.org@gmail.com
TOVUTI.http:/
Maelezo ya Mradi
Uimarishaji Asasi za Kiraia
Mradi wetu utakapokamilika wanachama na viongozi watakuwa na uwelewa mkubwa juu ya asasi na utawala bora
Wanachama na viongozi wataelewa uandishi wa michanganuo ya miradi na usimamizi wa fedha
Wanachama na viongozi wataandaa kanuni za muongozo wa usimamizi wa fedha.
Wanachama na viongozi wataelewa uandishi wa michanganuo ya miradi na usimamizi wa fedha
Wanachama na viongozi wataandaa kanuni za muongozo wa usimamizi wa fedha.
Mkoa | Wilaya | Kata | Vijiji | Idadi ya Wanufaika |
---|---|---|---|---|
Pwani | Bagamoyo | Dunda | Yombo | 40 |
Pwani | Bagamoyo | Magomeni | Matimbwa | |
Pwani | Bagamoyo | Yombo | ||
Pwani | Bagamoyo | |||
Pwani | Bagamoyo | |||
Pwani | Bagamoyo |
Walengwa wa moja kwa moja | Walengwa wasio wa moja kwa moja | |
---|---|---|
Wanawake | 24 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 13 | 3 |
Jumla | 37 | 3 |
Shughuli na Matokeo ya Mradi
Viongozi pamoja na wanachama 37 na viongozi watatu wa serikali wamepatiwa mafunzo ya uendeshaji wa asasi kuhusu utawala bora.Usimamizi wa miradi na usimamizi wa fedha Asasi ina muongozo wa usimamizi wa fedha.
Kufanya mafunzo ya undeshaji wa asasi,uandikaji wa michanganuo ya miradi na uandaji wa kanuni za muongozo wa usimamizi wa fedha.
Viongozi na wanachama 37 na viongozi watatu wa seri kari za mitaa walipatiwa mafunzo ya siku tano katika ukumbi wa Bagamoyo view hotel yahusiyo Utawala bora ,usimamizi wa fedha,uandikaji wa michanganuo ya miradi, Uandaaji wa kanuni za u simamizi wa fedha .Nk
Uelewa wa viongozi wa asasi na wanachama wake umeongezeka ku tokana na mafunzo waliyoyapata.
Uendeshaji wa Asasi na Utawla bora tulitumia Tsh 2,206,300/= (ii) Uandishi wa michanganuo ya fedha Tsh 2,206,300/= (III) Uandaji wa kanuni za muongozo wa fedha Tsh 1,077,400/= (IV) Wajumbe 7 wa kamati tendaji Tsh 134000/= (v) Ufuatiliaji na tathimini Tsh 361000/= (vi)Utawala Tsh 1,575,000/=
Mafanikio au Matunda ya Mradi
Viongozi pamoja na wanachama 37 na viongozi watatu wa serikari za mitaa wamepatiwa mafunzo ya uendeshaji wa Asasi na utawala bora na wamefahamu wajibu wao kwa sasa
Viongozi na wanachama wamefahamu Uandishi wa michanganuo ya miradi na kuitengeneza Bajeti.
Wanachama kujua mipaka yao katika uendeshaji wa Asasi na viongozi pia.Na wamekuwa na morali katika uhudhuliaji katika vikao tofauti na mwanzo uwazi na uwajibikaji umeongezeka
1. Kufahamu wajibu wao na ,mipaka yao katika uendeshaji wa Asasi (2) Wamehudhulia mafunzo ambayo yamewapa ufahamu na uelewa mkubwa
Mambo Mliyojifunza
Maelezo |
---|
Kutakana na utedkelezaji wa mradi huu, viongozi na wanachama kwa jumla wamefahamu wajibu wao. |
Tum ekuwa na uhusiano mzuri baina ya Asasi ya Bagamoyo care organization na viongozi wa serikari kuu na Halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo. |
Asasi imeadhimia mara tutapomaliza mradi huu tutawasilisha andiko la miradi mwingine ambao tutawafikia walengwa wetu waliomo ndani ya katiba |
Changamoto
(Hakuna jibu)
Mahusiano
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
Maafisa watendaji wa kata tatu (1) Dunda (2) Magomeni (3) Yombo | Wameshiriki mafunzo tuliyoifanya ya kujenga uwezo wa Asasi juu ya Utawala bora, Usimamizi wa miradi Usimamizi wa fedha , Uandikaji michanganuo ya miradi na kuandaa kanuni za muongozo wa fedha |
Mwenyekiti na katibu wake wa serikali ya kitongoji cha Dunda | (1) Wamehudhulia mafunzo kama uongozi wa kata tulizitaja juu (2) Kutushauri muda na siku wa kuanza mafunzo yetu |
Mipango ya Baadae
Shughuli Zilizopangwa | Mwezi wa 1 | Mwezi wa 2 | Mwezi wa 3 |
---|---|---|---|
Kufanya mafunzo ya kujenga uwezo wa Asasi juu ya utawala bora usimamizi wa fedha ,Uandikaji wa michanganuo ya miradi kuanda kanuni za muongozo wa fedha | ___ | ||
Kufanya tathimini na ufuatiliaji wa mradi | ___ | ||
Kuandaa taarifa ya mwisho ya mradi na kuituma The foundation for civil society. | ___ |
Walengwa Waliofikiwa
Walengwa wa moja kwa moja | Walengwa wasio wa moja kwa moja | ||
---|---|---|---|
Wajane na Wagane | Wanawake | 4 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 4 | (Hakuna jibu) | |
Watu wanaoishi na VVU/UKIMWI | Wanawake | 4 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 3 | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 7 | (Hakuna jibu) | |
Wazee | Wanawake | 3 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 3 | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 6 | (Hakuna jibu) | |
Watoto Yatima | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watoto | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watu wenye Ulemavu | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 1 | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 1 | (Hakuna jibu) | |
Vijana | Wanawake | 8 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 7 | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 15 | (Hakuna jibu) | |
Watu wengine | Wanawake | 18 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 10 | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 28 | (Hakuna jibu) |
(Hakuna jibu)
Matukio Mliyoyahudhuria
Aina ya Tukio | Lini | Mambo uliyojifunza | Hatua zilizochukuliwa |
---|---|---|---|
Mafunzo ya siku 6 ya usimamizi wa ruzuku | Kuanzia Tarehe 27/6/2011 hadi tarehe 01/7/2011 | Usimamizi wa miradi,Uchambuzi wa tatizo na malengo.katika mzunguko wa ,mradi,Usimamizi wa fedha,Uandaaji wa bajeti, Uandaaji taarifa kufuatana na mfumo wa FCS. | Kutoa mikataba kwa shughuli za miradi tulizoziombea ruzuku toka FCS. |
Viambatanisho
(Hakuna jibu)
Maoni (0)