Envaya

BAGAMOYO CARE ORGANISATION

FCS Narrative Report

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

FCS Narrative Report

Introduction

BAGAMOYO CARE ORGANISATION
BACAO
MRADI WA KUJENGA UWEZO WA ASASI KWA MIEZI MITATU
FCS/RSG/1/11/334
Dates: 01/07/2011Quarter(s): 30/09/2011
HAMISI TOSHA HAMISI. MOB. 0658438778
0753438778
E-MAIL:bagacare.org@gmail.com
TOVUTI.http://envaya.org/BACAO

Project Description

Civil Society Capacity Strengthening
Mradi wetu utakapokamilika wanachama na viongozi watakuwa na uwelewa mkubwa juu ya asasi na utawala bora

Wanachama na viongozi wataelewa uandishi wa michanganuo ya miradi na usimamizi wa fedha
Wanachama na viongozi wataandaa kanuni za muongozo wa usimamizi wa fedha.
RegionDistrictWardVillagesTotal Beneficiaries
PwaniBagamoyoDundaYombo40
PwaniBagamoyoMagomeniMatimbwa
PwaniBagamoyoYombo
PwaniBagamoyo
PwaniBagamoyo
PwaniBagamoyo
 Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
Female24(No Response)
Male133
Total373

Project Outputs and Activities

Viongozi pamoja na wanachama 37 na viongozi watatu wa serikali wamepatiwa mafunzo ya uendeshaji wa asasi kuhusu utawala bora.Usimamizi wa miradi na usimamizi wa fedha Asasi ina muongozo wa usimamizi wa fedha.
Kufanya mafunzo ya undeshaji wa asasi,uandikaji wa michanganuo ya miradi na uandaji wa kanuni za muongozo wa usimamizi wa fedha.
Viongozi na wanachama 37 na viongozi watatu wa seri kari za mitaa walipatiwa mafunzo ya siku tano katika ukumbi wa Bagamoyo view hotel yahusiyo Utawala bora ,usimamizi wa fedha,uandikaji wa michanganuo ya miradi, Uandaaji wa kanuni za u simamizi wa fedha .Nk
Uelewa wa viongozi wa asasi na wanachama wake umeongezeka ku tokana na mafunzo waliyoyapata.
Uendeshaji wa Asasi na Utawla bora tulitumia Tsh 2,206,300/= (ii) Uandishi wa michanganuo ya fedha Tsh 2,206,300/= (III) Uandaji wa kanuni za muongozo wa fedha Tsh 1,077,400/= (IV) Wajumbe 7 wa kamati tendaji Tsh 134000/= (v) Ufuatiliaji na tathimini Tsh 361000/= (vi)Utawala Tsh 1,575,000/=

Project Outcomes and Impact

Viongozi pamoja na wanachama 37 na viongozi watatu wa serikari za mitaa wamepatiwa mafunzo ya uendeshaji wa Asasi na utawala bora na wamefahamu wajibu wao kwa sasa
Viongozi na wanachama wamefahamu Uandishi wa michanganuo ya miradi na kuitengeneza Bajeti.
Wanachama kujua mipaka yao katika uendeshaji wa Asasi na viongozi pia.Na wamekuwa na morali katika uhudhuliaji katika vikao tofauti na mwanzo uwazi na uwajibikaji umeongezeka
1. Kufahamu wajibu wao na ,mipaka yao katika uendeshaji wa Asasi (2) Wamehudhulia mafunzo ambayo yamewapa ufahamu na uelewa mkubwa

Lessons Learned

Explanation
Kutakana na utedkelezaji wa mradi huu, viongozi na wanachama kwa jumla wamefahamu wajibu wao.
Tum ekuwa na uhusiano mzuri baina ya Asasi ya Bagamoyo care organization na viongozi wa serikari kuu na Halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo.
Asasi imeadhimia mara tutapomaliza mradi huu tutawasilisha andiko la miradi mwingine ambao tutawafikia walengwa wetu waliomo ndani ya katiba

Challenges

(No Response)

Linkages

StakeholderHow you worked with them
Maafisa watendaji wa kata tatu (1) Dunda (2) Magomeni (3) YomboWameshiriki mafunzo tuliyoifanya ya kujenga uwezo wa Asasi juu ya Utawala bora, Usimamizi wa miradi Usimamizi wa fedha , Uandikaji michanganuo ya miradi na kuandaa kanuni za muongozo wa fedha
Mwenyekiti na katibu wake wa serikali ya kitongoji cha Dunda (1) Wamehudhulia mafunzo kama uongozi wa kata tulizitaja juu (2) Kutushauri muda na siku wa kuanza mafunzo yetu

Future Plans

Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Kufanya mafunzo ya kujenga uwezo wa Asasi juu ya utawala bora usimamizi wa fedha ,Uandikaji wa michanganuo ya miradi kuanda kanuni za muongozo wa fedha ___
Kufanya tathimini na ufuatiliaji wa mradi___
Kuandaa taarifa ya mwisho ya mradi na kuituma The foundation for civil society.___

Beneficiaries Reached

    Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
WidowsFemale4(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total4(No Response)
People living with HIV/AIDSFemale4(No Response)
Male3(No Response)
Total7(No Response)
ElderlyFemale3(No Response)
Male3(No Response)
Total6(No Response)
OrphansFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ChildrenFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
DisabledFemale(No Response)(No Response)
Male1(No Response)
Total1(No Response)
YouthFemale8(No Response)
Male7(No Response)
Total15(No Response)
OtherFemale18(No Response)
Male10(No Response)
Total28(No Response)
(No Response)

Events Attended

Type of EventWhenLessonsActions Taken
Mafunzo ya siku 6 ya usimamizi wa ruzukuKuanzia Tarehe 27/6/2011 hadi tarehe 01/7/2011Usimamizi wa miradi,Uchambuzi wa tatizo na malengo.katika mzunguko wa ,mradi,Usimamizi wa fedha,Uandaaji wa bajeti, Uandaaji taarifa kufuatana na mfumo wa FCS.Kutoa mikataba kwa shughuli za miradi tulizoziombea ruzuku toka FCS.

Attachments

(No Response)

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.