
vijana wanafunzi wa uhazili wakipata mafunzo kutoka kwa mwl. Kashimili kwenye kituo cha shirika la viyoso kikitwacho Victory & Faith Training Centre mjini morogoro

Baadhi ya vijana wakiwa kwenye Darasa la uhazili wakipatiwa mafunzo ya Secretarial kutoka kituo cha Victory & faith training Centre moja ya miradi ya Shirika la VIYOSO

Vijana wakipatiwa mafunzo ya ICT kutoka kituo cha viyoso kiitwacho Victory & Faith kilichopo manispaa ya morogoro

vijana wa Viyoso wakipata maelezo ya mambo ya hotel kutoka kwa Mwl. Mkude kituoni Victory & Faith kilichopo manispaa ya Morogoro.

vijana wa VIYOSO wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye makao makuu ya viyoso Morogoro

vijana wa VIYOSO wakiwa na mwezeshaji wa mafunzo ya Hotel na ujasiliamali Mwl. Mkude

baadhi ya vijana VIYOSO wanopatiwa mafunzo ya hotel na ujasiliamali kupitia kituo chao cha Victory & Faith Training Centre hivi karibuni

walimu na mkurugenzi wa viyoso wakifurahia jambo pamoja mara baada ya kukabidhi michango mbalimbali kwa watoto walemavu wa shule ya k/Ndege manispaa ya Morogoro


