Log in
Victory Youth Support Organization

Victory Youth Support Organization

Morogoro Mjini, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

shirika la viyoso latoa mafunzo ya tehama kwa wanafunzi wa shule za msingi kutoka manispaa ya Morogoro

washiriki wa mafunzo ya usimamizi wa miradi akiwemo Bwn Freddy wanne kutoka kushoto wakifuatilia kwa makini mafunzo ya usimamizi wa miradi yaliyo endeshwa na shirika la THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY mjini Dodoma

mkurugenzi wa Viyoso Bwn Freddy akiwa amepozi Dodoma Hotel mara baada ya mafunzo

Shirika La viyoso Lajengewa uwezo juu ya usimamizi wa miradi ya PETS na FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY mjini Dodoma

Vijana wanaotoka katika mazingira magumu katika kata 29 za manispaa ya Morogoro wakiwa kwenye picha ya pamoja na mkurugenzi wa VIYOSO bw Freddy watatu kutoka kulia walio chuchumaa mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za viyoso kwa lengo la kuwezeshwa kuendelea na masomo yao. Shirika liliwasapoti na sasa wanaendelea  na masomo yao

large.jpg

Vijana wa Shirika La Viyoso wakiwa wamepozi pamoja na mkurujenzi wao Bwn Freddy watatu kutoka kushoto mstali wa nyuma

large.jpg

wanachama wa VIYOSO wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya mkutano mkuu