Log in
Victory Youth Support Organization

Victory Youth Support Organization

Morogoro Mjini, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

viyoso yatembelea kituo cha watoto walwmavu cha shule ya k/Ndege na kutoa misaada mbalimbali kwa watoto, pichani mkurugenzi wa viyoso bwn Freddy akiwa amemnyanyua mtoto mlemavu wakifurahi pamoja

vijana Wakifuatila kwa umakini mafunzo ya Life Skills kutoka kwa mkurugenzi wa Viyoso wa shirika hayupo pichani

shirika la Viyoso Limeendesha semina ya LIFE SKILLS kwa wanafunzi na vijana wa manispaa ya Morogoro lengo ni kuwajengea uwezo juu ya mambukizo ya VVU na uzazi salama.

Shirika la Viyoso likiendesha Mafunzo ya kuwajengea uwezo vijana kwenye masuala ya  ICT ndani ya Manispaa ya Morogoro.

Shirika la viyoso laendesha mradi wa ICT kwa vijana wa Manispaa ya Morogoro kupitia kituo chake cha victory & Faith Training Centre, mradi wenye lengo la kuwajengea uwezo vijana 120 kutoka kata 29 za manispaa ya morogoro hili waweze kuajiliwa na kujiajili

picha hapo juu vijana wakipatiwa mafunzo ya utengenezaji batiki na vikoi kutoka kwa mwezeshaji, mafunzo yaliyo andaliwa na shirika la viyoso

Vijana wakitengeneza bidhaa ya shompoo baada ya mafunzo ya ujasiliamali yaliyotolewa na Viyoso

Baadhi ya vijana wa manispaa ya Morogoro wakifuatilia kwa umakini mafunzo ya ujasiliamali kutoka kwa mwezeshaji hayupo pichani, mafunzo yaliyo andaliwa na shirika la Viyoso

mwezeshaji wa mafunzo ya ujasiliamali Bi. Helga Mayala akitoa somo la ujasiliamali kwa vijana wanufaika wa Viyoso

Shirika La Viyoso latoa mafunzo ya ujasiliamali kwa vijana wa manispaa Ya Morogoro hili vijana waweze kujitambua na kujitegemea. juu pichani ni mgeni rasmi mh. mama Mazora diwani wa kata ya uwanja wa Taifa manispaa ya Morogoro akifungua mafunzo hayo kwa vijana