Internal ID | Base | Kiswahili | Translator | Time Created |
---|
sms:login_bad_password | The password '{password}' was incorrect for username '{username}'. Please correct the password, then txt "IN [your username] [your password]". | Neno la siri '{password}'haliko sawa kwaajili ya '{username}'. tafadhali rekebsha neno la siri halau tuma neno "INGIA [Jina la mtumiaji] [neno la siri]". | radhina | September 26, 2011 |
sms:login_unknown_user | The username '{username}' does not exist on Envaya. Please correct the username, then txt "IN [your username] [your password]" | Jina {username} halipo kwenye Envaya. Tafadhali rekebisha jina la mtumiaji halafu tuma neno "INGIA
[Jina la mtumiaji] [your password]" | radhina | September 26, 2011 |
sms:login_success | Successfully logged in. | Umefanikwa kuingia kwenye akaunti yako | radhina | September 26, 2011 |
sms:logged_in | You are logged in as {username} ({name}). Txt "OUT" to log out. | Umeingia kwenye akaunti yenye jina {username} {name}. Tuma "kuondoka" ili kutoka kwenye akaunti hii. | radhina | September 26, 2011 |
sms:post_published | Your news update has been published to "N {username}" and {url}
If you want to undo, txt "DELETE {id}" | habari yako imechapishwa kwenye "N {username}" and {url} ukitaka kufuta tuma neno "FUTA {id}" | radhina | September 26, 2011 |
sms:login_to_post | To post your message, you need to log in to Envaya. Txt "IN [your Envaya username] [your password]" | Ili kuchapisha ujumbe wako, Unahitaji uingie kwenye akaunti yako ya Envaya. Tuma neno "IN [jina la mtumiaji] [neno la siri]" | radhina | September 26, 2011 |
sms:bad_language | Unknown language \'{lang}\'. | Lugha haijulikani '{lang}'. Tuma "L ENG" kwaajili ua Swahili, "L RW" kwaajili ya Kinyarwanda | radhina | September 26, 2011 |
sms:language_changed | Language changed. | Lugha imebadilishwa. | radhina | September 26, 2011 |
sms:user_self_help | Txt "I {username}" to see your own info. | Tuma "I {username}" kuona taarifa zako. | radhina | September 26, 2011 |
sms:location_not_set | Location not set. | Eneo halijawekwa | radhina | September 26, 2011 |
sms:location_changed | Location changed to '%s'. | Eneo limebadilishwa kuwa '%s'. | radhina | September 26, 2011 |
sms:location | Location is currently '%s'. | kwa sasa eneo ni '%s'. | radhina | September 26, 2011 |
sms:name_not_set | Name not set. | Jina halijawekwa | radhina | September 26, 2011 |
sms:name_changed | Name changed to '%s'. | Jina limebadilishwa limekuwa '%s'. | radhina | September 26, 2011 |
sms:name | Name is currently '%s'. | kwa sasa jina ni '%s'. | radhina | September 26, 2011 |