Base (Icyongereza) | Kiswahili |
---|---|
Envaya is translated into multiple languages, and you can use whichever language you feel most comfortable using. To change Envaya's language, click on the language menu at the top of any page on Envaya, and select a language from the list. You can also change Envaya's language by scrolling to the bottom of the page and clicking the name of a language at the bottom-left. Translating Content From Other LanguagesOrganizations using Envaya may publish content in whichever language they prefer. If you are viewing another organization's website on Envaya, their content is usually shown in their language, which may be different from the language you are using on Envaya. When possible, Envaya will detect the language of the current page and allow you to translate it into your own language. If this is possible, there will be a bar near the top of the page with a link to translate the page into your language, as shown below: When viewing pages using Google Translate, an automatic computer translation service, translations may be incomplete or incorrect. Improving Envaya's TranslationsAnyone is welcome to help improve Envaya's translations on Envaya's Translations site, http://envaya.org/tr . On the Translations site, you can correct any phrases on Envaya that are translated incorrectly. You can also add new translations, as well as vote and comment on existing translations. For instructions on how to contribute to Envaya's Translations site, visit http://envaya.org/tr/instructions . |
Envaya imetafsiriwa kwa lugha mbalimbali, na unaweza kutumia lugha yoyote unayotaka kuitumia. Ili kubadili lugha ya Envaya, bonyeza menyu ya Lugha au Language juu ya ukurasa wowote wa Envaya, halafu chagua lugha kutoka kwenye orodha. Vile vile, unaweza kubadili lugha ya Envaya kwa ku-scroll mpaka chini ya ukurasa, na kubonyeza jina ya lugha pale chini kushoto. Kutafsiri maandiko Kutoka Lugha nyingineMashirika yanayotumia Envaya yanaweza kuchapisha maandiko kwa lugha yoyote yapendayo. Kama unasoma tovuti ya shirika jingine kwenye Envaya, maandiko yao yanaonekana kwa kawaida kwa lugha yao, ambayo labda ni tofauti na lugha unayoitumia kwenye Envaya. Inapowezekana, Envaya itachunguza lugha ya ukurasa wa sasa na kukuruhusu kutafsiri ukurasa kwa lugha yako. Kama inawezekana, kutakuwepo sehemu karibu ya juu ya kurasa yenye kiungo kitachotafsiri ukurasa kwa lugha yako, kama inavyoonekana hapo chini: Unaposoma kurasa kupitia Google Translate, huduma ya kujiendesha ya tafsiri ya kompyuta, labda tafsiri itakuwa pungufu au na makosa. Kuboresha Tafsiri ya EnvayaMtu yeyote anakaribishwa kusaidia kuboresha tafsiri za Envaya kwenye tovuti ya Tafsiri ya Envaya, http://envaya.org/tr . Kwenye tovuti ya Tafsiri, unaweza kusahihisha maneno yoyote yalio ya tafsiri ya kimakosa. Pia, unaweza kuongeza tafsiri mpya, na kupiga kura na kuandika maoni juu ya tafsiri zilizopo. Kwa maelekezo ya kuchangia kwa tovuti ya Tafsiri ya Envaya, nenda http://envaya.org/tr/instructions . |
Ibyasobanuwe
|