Log in
Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA

Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA

Kyela, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

MWENYEKITI KATIKA PICHA NA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA SUMAYE BUZIKU WILAYANI CHATO

January 1, 2016
« Previous Next »

Comments (1)

Tunapenda kuwaalika ndugu jamaa na marafiki zetu wote kote nchini kuonesha upendo kwa vijana wetu wanaofanya vizuri kwa kuwazawadia chochote kwani kufanya hivyo kunaongeza hamasa miongoni mwao. Wanafunzi wanhitaji kutambuliwa ili waendelee kusoma kwa bidii. Unaweza kupitisha mchango au zawadi yako katika shirika letu nasi tutaufikisha kama ulivyo na utapata taarifa za mchango wako punde tunapopokea na kuufikisha mchango huo.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba: 0757918700 au 0674827760
January 1, 2016

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.