Vyanzo na ubora wa maji kwenu yamepata athari gani kutokana na mafuriko?
Mabomba mengi yalibebwa na maji ya mafuriko
Maji yanauzwa kwa bei kubwa
Kuna shida ya maji
Hakuna na yaliyopo sio safi na salama
kwa upande wetu maji ni shida sana
huku kwetu maji ni shida sana
kwa kweli hatuna maji kabisa
ni matatizo makubwa sana
maji yalichafuka sana
hakuna maji kabisa katika mtaa wetu
Vingi havifanyi kazi
« Rudi nyuma kwenye ripoti