Envaya

Envaya

Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam

Vyanzo na ubora wa maji kwenu yamepata athari gani kutokana na mafuriko?

Maji hayafai kabisa ni kijani na hayafai kwa binadamu kabisa.
lost water infrastructure by carrying away the network
Maji hayafai kabisa kutumika tena kwani yana uchafu mwingi sana na yamebadilika rangi na kuwa ya kijani sana.
Maji yamechafuka, na baadhi ya mabomba ya maji masafi yamesombwa na mafuriko
Mfumo mzima wa maji safi yameharibika, yamejichanganya na mfumo wa maji machafu,
The cleanness and safeness of water in Dar es salaam is now poor due to the fact that many pipelines ruptured.Also due to the pressure exerted by water some pipelines broke and get leakages.
« Swali lililotanguliaSwali lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti