Envaya

Envaya

Dar es Salaam Flooding Community Survey

How did the flooding affect your own property and possessions?

Mafuriko yamevunja kabisa Ukuta wa nyumba yangu baada ya maji kutoka kwenye petrol station kuvunja ukuta na kuingia kwangu.Imeondoa mali zangu kama viti,meza,vyumba vya kulala wageni na vifaa vyote vya ndani kama Magodoro,TV,Air Conditions zote hazifai tena.Nguo,Mashiti nk hazifai tena.
flooded my vegetables and part of my house wall was broken
Ukuta umevunjika,vitu vya ndani vimeharibika,Magari na bajaji vimeharibika na bajaji mbili zimepotea.Fridge,Makochi,Magodoro n.k vimeharibika sana
Vyombo vya ndani vimechukuliwa na mafuriko, baadhi ya nyumba zimebomoka
All human basic needs has been taken away by the flood
most of my clothes went away by water and of course my family house furnishes became wet and till now are fit for use,all of them we have thrown away as rubbish.
matenki ya maji na madaraja kusombwa na watu wawili kufa
nyumba kujaa tope na kupotea kwa vyombo vyote vya ndani
nyumba kujaa tope,kupotea kwa mtoto na kupotea kwa vitu vyote vya ndani kama sofa,kabati,na vyombo vya kupikia
kuharibu nyumba,kupotea kwa magodoro,nguo,mabegi,vyombo vya kupikia na vifaa vya shule
kupotea kwa vyombo vya ndani,mfano tv,sofa,na vyombo vya kupikia
« Previous questionNext question »

« Back to report