What is your neighborhood's most important need right now?
Madawa ya kuzuia magonjwa
Miundo mbinu
Miundo mbinu na maji
MIundo mbinu
Miundo mbinu
Mahitaji ya kijamii
Kupatiwa Miundo mbinu mizuri
Nyumba zetu kufanyiwa ukarabati
Inahitajika nguvu ya pamoja kushinikiza serikali kumwondoa yule mfanyabiashara aliyezungusha ukuta eneo la Kigogo sambusa ili mvua za wakati mwingine,maji yake yasizuiliwe na ukuta yakarudia kuingia kwenye nyumba za watu na kusababisha mafuriko.
chochote kitakachopatikana maana hatuna kitu
maji na barabara ni vitu vya muhimu sana
miundo mbinu inahitajika sana
tunahitaji chakula na pesa
barabara,maji na chakula
tunahitaji kuhama kabisa maana maisha yako hatarini
mtaa wangu umeathirika sana hivyo unahitaji mahitaji yote ya kijamii
Miundo mbinu
Inahitajika nguvu ya pamoja kushinikiza serikali kumwondo Yule mfanyabiashara aliyezungusha ukuta eneo la Kigogo sambusa ili mvua za wakati mwingine,maji yake yasizuiliwe na ukuta yakarudia kuingia kwenye nyumba za watu na kusababisha mafuriko.
« Back to report